Wednesday, March 2, 2016

Kijana mmoja ajinyonga baada ya kubeti kiasi cha ksh. 45000 na kuambulia kipigo kikali na baada ya hapo uamuzi mkuu alio ona utamsaidia ni kujinyonga na kuachana na maumivu ya pesa yake. Pesa aliyotumia ku beti ni mpesa ambayo ilikuwa ya mkopo kutoka katika Bank ya KCB. alipatikana juu ya mti siku ya jumapili akiwa amejining'iniza.

0 comments:

Post a Comment