Thursday, March 10, 2016

02_08075105_6e5bfc_2729405a
Aliyekuwa mchumba wa staa wa Nigeria, WizKid, Tania Omotayo amepost picha ikimuonyesha akiwa mjamzito.

Ikiwa ni mwaka mmoja kupita tangu wawili hao kuvunja mahusiano yao ya kimapenzi, Tania amepost picha na kuandika, “@marveleuphoria somebody cannot eat in peace again? Well maybe sha pregnant with amala and ewedu .”

CHANZO  na Bongo5.

0 comments:

Post a Comment