Tuesday, March 8, 2016


Ishu ya Moshi kutoka soko la samaki Ferry kuingia Ikulu ilichukua vichwa vya habari mwanzoni mwa mwaka huu baada ya moshi huo wa majiko kuwa unaingia mpaka kwenye makazi ya Rais Magufuli (IKULU) na kusababisha kero.
Leo March 8 2016 Mkuu wa wilaya ya Ilala Isaya Mguluni kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, amezindua majiko 48 yanayotumia nishati ya gesi katika soko la samaki Ferry ili kupunguza moshi unaotokana na matumizi ya kuni ambao uliokuwa unaingia mpaka Ikulu.

0 comments:

Post a Comment