Friday, March 4, 2016

mchina1

Stori: Hamida Hassan na Boniface Ngumije
Dar es Salaam: Tabia ya baadhi ya wasichana hasa wa mjini kuwa na tamaa ya kuwa na makalio
makubwa na hivyo kulazimika kutumia dawa mbalimbali, imekuwa ikishamiri kila siku licha ya serikali kupiga marufuku uingizwaji wa dawa hizo.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment