Wednesday, March 2, 2016


Jackie Cliff ni Mtanzania ambaye alihukumiwa kwenda jela miaka miwili iliyopita huko Macao China baada ya kukamatwa uwanja wa ndege akijaribu kuingiza dawa za kulevya, kwenye hii video ametumabarua ambayo anataka Watanzania wasomewe.

0 comments:

Post a Comment