Thursday, March 31, 2016

28 mins ·


#‎HABARIZILIZOTUFIKIAHIVIPUNDE‬:Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU yawaburuza Mahakama ya Kisutu wabunge wa 3 wa Kamati za Kudumu za Bunge wanaotuhumiwa kwa Rushwa.
1.Mh.Victor Mwambalaswa Mbunge wa Lupa,Sadiq Murad Mbunge wa Mvomero na Kangi Lugola Mbunge wa Mwibara

0 comments:

Post a Comment