Jeshi la Polisi Mtwara
limewakamata Heri Martin Kalamaga (32yrs), mkazi wa majengo Mtwara pamoja na Hassani Daima (30yrs), mkazi wa mtaa wa Sinani Mtwara na kuwafikisha Mahakamani tar 29 Machi 2016 kwa kosa la kumpiga Dkt Dickson Sahini wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ligula, Mtwara.
Nichukue fursa hii kumpongeza Kamanda wa Polisi wa Mkoa Mtwara Henry Mwaibambe kwa kuchukua hatua za haraka. #UsalamaKwaMadaktariNiWajibuWetuSote


0 comments:
Post a Comment