Wednesday, March 9, 2016

Ajali Mbaya imetokea eneo la Tabata Matumbi, Ajali iliyohusisha Lori la Ng'ombe na Daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo la Mboto kuelekea Ubungo 

Abiria kadhaa Wamepoteza Maisha na wengine wengi Wamejeruhiwa Vibaya sana

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment