Thursday, March 24, 2016



Waziri wa Maliasili Professor Jumanne Maghembe, amewasimamisha kazi wakurugenzi wanne wa misitu na wanyama pori kwa kuruhusu wanyama kusafirishwa nje ya nchi kinyume cha sheria.

Chanzo: ITV

0 comments:

Post a Comment