Friday, March 4, 2016

Mahakama imetoa ruhusa ya chanzo cha kifo cha Bobbi Kristina Brown kutangazwa. Bobbi ni mtoto wa Whitney Houston na Bobby Brown alifariki mwaka jana.

Bobbi Kristina Brown alifariki akiwa na miaka 22,  July 2015 baada ya kukutwa amepoteza fahamu bafuni kwake January 2015.
Wanasheria walizuia chanzo cha kifu kutangazwa sababu walihisi ameuwawa na aliyekuwa mpenzi wake Nick Gordon.

0 comments:

Post a Comment