Wednesday, March 23, 2016

Msanii huyo alikutana na E-newz na kutufahamisha machungu yake na kuulalamikia uongozi wake kuwa haujamlipa mshahara wa miezi sita mpaka sasa, kitu kinachompelekea kutokuonekana kwenye maonesho ya Mashujaa Band mpaka band hiyo itakapo amua kumlipa pesa zake zote za miezi sita.

0 comments:

Post a Comment