Tuesday, March 29, 2016

ciara-russell-wilson-engagement
Russell Wilson amemchumbia Ciara.

Ciara ametangaza habari hizo njema kwenye Twitter.
Kabla ya hapo wawili hao walikuwa wamejiwekea nadhiri kutofanya mapenzi hadi watakapofunga ndoa.

CHANZO na Bongo5.

0 comments:

Post a Comment