Thursday, March 31, 2016

Hatimaye Clouds Media leo imemaliza uvumi uliokuwa umeeenea hapa mjini kuhusu Wafanayakazi wake 2 maarufu wa Power Breakfast asubuhi kuacha kazi, kwa maelezo ya Mkurugenzi Ruge ni kwamba Wafanyakazi hao Gerlard Hando na PJ wamemaliza mkataba wao ambao unaisha leo, na utaratibu wa Clouds Media ni Mkataba unapoisha kila mfanyakazi anatakiwa kuomba upya kwa kuandika au kuomba kwa mdomo na kwa sababu mkataba wao unaisha leo ni vigumu kwa utawala kusema kama wapo au wameondoka kwani mwisho wa Mkataba wao ni leo usiku Saa Sita.

0 comments:

Post a Comment