Thursday, March 24, 2016



  1. Anapunguza mawasiliano siku hadi siku. Ni tofauti ukilinganisha ukaribu wa mawasiliano katika kipindi cha awali, mwanzoni alikua moto kwa kipindi hiki utamuona amepoa kama barafu.
  2. Neno tuachane huwa jirani mdomoni mwake.
  3. Hataki ama anakwepa kuonana na wewe mara kwa mara ukilinganisha na zamani. (ubize ambao zamani hakuwa nao)
  4. Mkiwa wote hachangamki kama zamani.
  5. Atakutafuta akiwa na shida ya pesa ama kitu flani.

..................Bofya hapa uendelea kusoma...............

0 comments:

Post a Comment