Saturday, March 26, 2016


Wagombeaji wawili wa Urais wa chama cha Republican nchini Marekani wamegombana vikali na kurushiana matusi juu ya wake zao.
TRUMPted-cruz-vs-donald-trump-rivalry-22309

Seneta wa Texas, Ted Cruz, amemlaumu mpinzani wake, mfanyabiashara Donald Trump kwa kuzusha uvumi kuwa yeye alikuwa mzinifu na kumdanganya mkewe, Heidi.

Republican presidential candidate Senator Ted Cruz (R-TX) addresses a legislative luncheon held as part of the "Road to Majority" conference in Washington June 18, 2015. REUTERS/Carlos Barria - RTX1H57C

Bwana Cruz alisema uvumi huo ni takataka na akasema kuwa anaelewa kuwa uvumi ulianzishwa na Bwana Trump ambaye alisema hastahili kuwa Rais. huku bwana Trump alisisitza kuwa hakuhusika vyovyote na uvumi huo.
trump-and-ted-cruz

Mapema juma hili, Bwana Trump alimlaumu Seneta Cruz kwa kuweka picha za mkewe, Melania, akiwa uchi kwenye mtandao ili kumharibia sifa.

0 comments:

Post a Comment