Hii ilikuwa ni Usiku wa March 5 ambapo staa wa Bongo Movie Single Mtambalike maarufu kama Rich Richie alivyotua Airport Dar es salaam baada ya kushinda tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, Single Mtambalike aliibuka mshindi akiwepo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ingawa hakuongozana katika safari ya kurudi pamoja na Richie.
Full video iliyonaswa unaweza kuitazama hapa….

0 comments:
Post a Comment