Tuesday, March 15, 2016


Siku kadhaa zilizopita Serikali ilikuja na habari mpya kuwa gesi imegunduliwa katika bonde la Ruvu mkoani Pwani. Leo March 15 2016 Waziri wa Nishati na Madini Prof.Sospeter Muhongo ametoa tamko rasmi kwamba gesi iliyogunduliwa bonde la Ruvu ni kiasi cha futi za ujazo trilioni 2.17 na utafiti bado unaendelea. 

Unaweza kutazama video hii hapa chini…

0 comments:

Post a Comment