Ni video ambayo Watanzania walianza kuiona kwa mara ya kwanza February 7 2016kupitia TV na mitandaoni na sasa MTV BASE ambacho ni kituo kingine kikubwa cha TV Afrika kimethibitisha video hiyo itazidi kuonekana nje ya mipaka ya Tanzania na kuzifikia nchi nyingine za Afrika kwenye mamilioni ya watazamaji wa MTV BASE.
Kupitia ukurasa wa Instagram MTV BASE walithibitisha nilichokuandikia hapo juu.

0 comments:
Post a Comment