Monday, March 14, 2016

p-square-jude-okoye
p-square-jude-okoye
Shabiki mkubwa wa P Square ameweka wazi hisia zake kupitia nyimbo za P Squre kwa kuziweka pamoja kwenye barua na maneno yake.
Barua hii imekuja siku chache baada ya msanii wa P Square ‘Peter Okoye’ kutoa kazi kama msanii solo “Look Into My Eyes“ kitu ambacho hakijawahi kutokea.
p square

0 comments:

Post a Comment