Awali Prezzo aliwahi sema hajui mtu anayeitwa Jaguar ila yeye analijua gari la Jaguar, huku Jaguar akimpa Prezzo nafasi ya upendeleo kwenye kitengo cha kusaidia watu wenye matatizo ya kutumia pombe kupitiliza.
Hivi karibuni Prezzo alihojiwa akiwa Tanzania nakusema sababu haswa ya beef yao ni mwanaume hutakiwi kuwa SNITCH Akimaanisha ni kitendo alichofanya Jaguar miaka kadha iliyopita.
Prezzo alikuwa Tanzania kufanya video na wimbo na Mr Blue.
0 comments:
Post a Comment