Monday, March 7, 2016


Limao lenye uzito wa kilo 5.265 ndio limao zito na kubwa kuliko malimao yote duniani.

Malimao ya aina hii yanapatikana Kefar Zeitim katika shamba la Aharon Shemoel huko nchini Israel.

0 comments:

Post a Comment