Tuesday, March 15, 2016

jn1
January akisalimia na mwenyeji wake Bwana Saidi Kiparu mala baada ya kuwasili  ofisini kwake.
Akiwa Jimboni Bumbuli mheshimiwa January Makamba ametembelea Msitu wa Mazumbai ulioko Jimaboni kwake bumbuli,  msitu huu umehifadhiwa na serikali chini ya chuo kikuu cha sokoine kwa ajiri ya watu kwenda kujifunza .Msitu wa mazumbai unasifa nyingi sana za kipekee kwanza ni kati ya misitu michache ambayo haijaathiriwa na shuguli za kibinadamu na hii inatokana na ulinzi na ufadhi mzuri wa chuo cha sokoine vilevile msitu huu una aina nyingi za mimea kuliko aina za mimea iliyopo  Western EUROPE (Ulaya Magharibi)
jn2
Mh.January akizungumza jambo ndani ya ofisi na mwenyeji wake Bwana Saidi Kiparu ambae ni meneja wa msitu wa mazumbai

JN4
Bwana Saidi Kiparu akitoa maelezo kuhusu baadhi ya mimea ipatikanayo katika hifadhi ya msitu mazumbai.
JN5
Bwana Saidi Kiparu akitoa maelezo kuhusu baadhi ya mimea ipatikanayo katika hifadhi ya msitu mazumbai.
JN6
January akiwa mbele ya mti unao itwa ENTANDROPHRAGMA EXCELSUM mti huu niwa ajabu nawa kipekee maana mizizi yake ni mipana na  inaota kwenda juu kama ukuta.

0 comments:

Post a Comment