Mheshimiwa Hamad Masoud amekamatwa asubuhi hii na Polisi.
Hamad Masoud alikuwa Waziri wa Miundombinu na Mwakilisihi wa Chama cha Wananchi CUF Jimbo la Ole kisiwani Pemba, pia ni Kaimu Msemaji wa chama cha CUF.Alikuwa Waziri wa Miundombinu na Mwakilisihi wa Chama cha Wananchi CUF Jimbo la Ole kisiwani Pemba

0 comments:
Post a Comment