
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga (wapili kulia), akiwasili kuzungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala. Kushoto ni Katibu wa UVCCM wilaya ya Temeke, Onesha Huruma na wapili ni Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga. 

Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga akishauriana jambo na Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga baada ya kuwasili ukumbini.

Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, wakiwa katika mkutano wa ndani na Asenga, uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala
Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, wakifuatilia kwa makini katika mkutano huo wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala
Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga akishauriana jambo na Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga baada ya kuwasili ukumbini.
Katibu wa UVCCM wilaya ya Ilala na Mjumbe wa Baraza la UVCCM mkoa wa Dar es Salaam,, Muhsin Zikatim akifanya utambulisho kwa wageni
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akizungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akisisitiza jambo alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga akisisitiza jambo zaidi alipozungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala.






0 comments:
Post a Comment