Tuesday, March 15, 2016


Kaka wa msanii wa pop Mariah Carey amwita dada yake “Evil Witch” akimaanisha “Shetani Mchawi”.

Morgan Carey ’51’ amemtukana dada yake sababu ikiwa Mariah na mapesa yake amekata kulipa pesa za matibabu ya dada yao ambaye kwa sasa anahali mbaya hospitalini.


Gazeti la The Sun limeripoti kuwa kaka huyu Morgan amesema “Mariah anatumia pesa nyingi zaidi kwenye chakula cha mbwa kuliko ndugu zake, sijaongea naye kwa zaidi ya miaka miwili na nusu na ndio nimejua ana mchumba bilionea kutoka Australia James Packer”

Dada wa Mariah Alison ’54’ anategemea kufanyiwa upasuaji wa ubongo na uti wa mgongo na dada huyu pia ana HIV na amekuwa akiomba msaada wa Mariah Carey,

0 comments:

Post a Comment