Msanii wa hip hop nchini Tanzania Kala Jeremiah amefunguka kuhusu kazi ambazo anahisi angefanya kama asingekuwa anajishughulisha na muziki.
Kala ameeleza mapenzi yake kwenye mpira wa kikabu,dini na siasa na kusema kuwa anapenda kufanya kazi ambazo zitamfanya aisaidie jamii kwani anapendwa akumbukwe kama wanaharakati waliopita.
“muziki usingekwepo labda ningekuwa basketballer mzuri ,labda ningekuwa mchungaji au ningeingia kwenye siasa,lengo langu kuu ni kusaidia jamii,napenda kazi ambazo jamii zinanufaika na mimi kwa sababu nataka nikumbukwe kama akina Martin Luther King” alifunguka Kala ambaye anatamba na kibao chake cha Malkia.
0 comments:
Post a Comment