Saturday, March 12, 2016

Karatasi za kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar utakaofanyika machi 20 zimewasili Zanzibar kwa ndege maalum ya kukodi kutoka Afrika Kusini ambapo ndipo zilipochapwa.

0 comments:

Post a Comment