Wednesday, March 30, 2016




Ushabiki si ubingwa wa kutukana ama kumkashifu flani, ushabiki ni kuwa muwakilishi Mwema wa Msanii au Mtu Umpendae.....Eeh Mwenyez Mungu, naomba uwabariki Mashabiki zangu wote na popote walipo na kuwaekea Wepesi katika kila jema na la Kheri Waliombalo.
🙏

0 comments:

Post a Comment