Rnb staa Keri Hilson aka Miss Keri anarudi kwenye muziki baada ya ukimywa wa miaka mitano.
Keri Hilson ametangaza album mpya na ya tatu kwake iliyopewa jina L.I.A.Rikimaanisha Love Is a Religion. Album ya kwanza ya Keri ilikuwa 2009> In a Perfect World na yapili ilikuwa 2010> No Boys Allowed ikiwa na wasanii Chris Brown, Kanye West,na J. Cole.
Wimbo wa kwanza kutoka utakuwa “Again” na unatoka Ijumaa ya March 18, umetayarishwa na Mike WiLL-Made na kuandikwa na R. City, t
L.I.A.R. inatoka chini ya Zone 4/Interscope/Mosley Music Group na wasanii walioshirikishwa ni pamoja na Chris Brown, Polow Da Don, Timbaland, Danja.
0 comments:
Post a Comment