Tuesday, March 8, 2016

AFISA MTENDAJI MKUU Emmanuel Kakuyu. Alikuwa mmoja wa ujumbe uliotembelea shule za msingi za Temeke na Ilala. Ujumbe huo uliongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar-Es-Salaam Meck Sadiki na Mwenyekiti wa Bodi ya TATOA Angelina Ngalula.

0 comments:

Post a Comment