Sunday, March 6, 2016

kenzo
Kundi linalotamba kwenye bongo fleva linaloundwa na wasanii wawili wapenzi,Navy Kenzo wanatarajia kufanya wimbo wa pamoja na msanii Ali Kiba ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Lupela.

akiongea kwenye moja ya mahojiano na redio moja Aika amesema kuwa sio kwamba wamemshirikisha Ali Kiba bali ni wimbo wa pamoja yani utakuwa mali ya Navy Kenzo na Kiba.
Hii ni kolabo ya Navy kenzo na Ali Kiba,hii sio featuring,ni wimbo wetu wote kama Ali Kiba na Navy Kenzo” alieleza Aika.
Source: Radio 5

0 comments:

Post a Comment