Posted by Williammalecela.com on Saturday, March 05, 2016
 |
| Kabla ya kundoka jana kuelekea Lagos, Le Mutuz Nation at Msibani nyumbani kwa Marehemu Selemani Kikwete kaka wa Rais Mstaafu Dr. JK kwenye picha with Mbunge wa CCM Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete, Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Mh. Shakha na Mwenyekiti wa CCM Shirikisho la Vyuo nchini Mh. Zainab. Marehemu Selemani Kikwete alifariki India na anatazamiwa kuzika leo Msoga, Chalinze. |
0 comments:
Post a Comment