Sunday, March 6, 2016

Msanii maarufu nchini Lulu Michael wa Bongo Muvi akitokwa machozi baada ya kutangazwa mshindi wa Tuzo za Mashindano ya "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE" kama BEST EAST AFRICAN MOVIE kwenye ukumbi wa Eko Hotel downtown Lagos/Nigeria. Pia Msanii mwingine maarufu wa Bongo Movie Single Mtambalike naye alifanikiwa kushinda Tuzo kama hivyo kwa upande wa Wanaume. Mashindano hayo yanayosimamiwa na DSTV yaliwajumuisha Wasanii wa Africa nzima, ambapo Mwanamuziki maarufu Ali Kiba alitumbuiza wakati wa matokeo ya mashindano hayo.



0 comments:

Post a Comment