Monday, March 7, 2016

Le Big Show flying back from Lagos/Nigeria to Dar on Kenya Airways via Cotonu/Beninn and Nairobi.



Live at the JKN Airport with Tanzanians fellas Super Star Singer Ali Kiba, Honeymoon, Monalisa and Salehe Jembe live!!

Baada ya kufika Uwanja wa Ndege Dar Le Big Show with Super Star Singer Ali Kiba ambaye walikuwa ndege moha from Lagos.


Pia ndani ya ndege hiyo alikuwepo Mshindi wa Zawadi za Cinema za 2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS for Beast East African Movie the Movie Star Richie Single Mtambalike hapa pamoja na Rais wa Wasanii Tanzania Mwakifwamba aliyeongoza wananchi wengi kuja kumpokea Richie.










0 comments:

Post a Comment