Wednesday, March 9, 2016

LIVE FROM DUBAI:- THE OFFICIAL VISIT AT EMIRATES CATERING DEPARTMENT:- My Study tour imeanzia at Emirates Flight Catering yaani department yao ya Chakula na Clothing za kwenye Ndege zao limepokelewa na Operations Manager Gloria Kinyua from Kenya hapa ndani ya Dept nimeona watu wa Nchi karibu zote za Africa na Dunia isipokuwa Bongo....hii dept Ina jumla wafanyakazi 4,500 kati ya 10,000 wa department nzima I mean hapa wanasafisha 2 Million Utensils na kuingiza kwenye Ndege kila siku ...Dada Mkenya amekua na Shirika kwa Miaka 15 U know what
an Education nimepata leo kwamba Shirika la Ndege la Emirates halitegemei Ndege tu ni Shirika kubwa sana lenye Biashara nyingi sana Usafiri wa ndege ni mojawapo....now hapa ndani nimejionea CAPITALISM at work yaani watu wa Mataifa mbali mbali wanapiga Mzigo humu ndani ya Emirates lakini ni vigumu sana kuwaona the Emirates wenyewe kwenye hizi kazi imenikumbusha USA ...ila all and all I am impressed na these massive investment ambayo ni pride of this Nation kwa sasa Shirika hili Lina Ndege 244, lakini limeagiza Ndege mpya 262 kwa gharama ya USD $ 120 Billion now hili ni Shirika tu binafsi imagine how much Taxes it generates for the Central Government? ....guys Miaka michache iliyopita hapa Dubai hapakuwa na kitu Chochote tulikuwa tukitoka Bongo tunaruka moja kwa moja Majuu but Leo kwenda Majuu bila kupitia Dubai imeshakuwa ni kama Dhambi jamani Bongo tunashindwa nini? Hawa watu hawana any Natural Resources mbona wapo mbali hivi? I mean we need to wake up Bongo tupunguze Majungu tufanye kazi kwa kutumia AKILI KUBWAZZZ hawa watu hawatumii nguvu sana wanatumia AKILI ZAIDI!








































0 comments:

Post a Comment