Monday, March 14, 2016

 Kwa mara ya kwanza March 13, 2016 Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinjiameonekana rasmi kwa wakazi wa Mwanza kwenye uwanja wa furahisha, viongozi wa kitaifa wa Chadema pamoja na baadhi ya Wabunge kutoka Chadema walikuwepo kuushuhudia utambulisho rasmi wa Katibu Mkuu wao kwa wananchi. ripota wa blogu ya wananchi kazipata picha kwenye huo utambulisho karibu kuzitazama

























0 comments:

Post a Comment