Thursday, March 31, 2016

Haya ni magari matatu yenye thamani kubwa zaidi duniani kwa mujibu wa mtandao wa Digital Trends.
1. Koenigsegg CCXR Trevita ($4.8M)
1

Koenigsegg ni kama mgodi wa almasi utembeao kwasababu imezungushiwa na madini hayo kwenye gari zima. Zimetengenezwa gari tatu hadi sasa.
2. Lamborghini Veneno ($4.5M)
2
Limepewa jina ‘sumu’ wa watengenezaji wa Italia na lilitengenezwa kusherehekea miaka 50 ya kampuni hiyo. Kwa dola milioni 4.5 gari hii inakuwa yako.
3. W Motors Lykan Hypersport ($3.4M)
3
Gari hili la Kilebanon limeonekana kwenye filamu ya Furious 7 likigonga makwea anga (skyscrapers) matatu ya Dubai. Polisi wa Abu Dhabi wanatumia gari hili la kifahari kwenye patrol zake.

0 comments:

Post a Comment