Posted by Williammalecela.com on Tuesday, March 22, 2016
Siku
za Hivi karibuni Msanii wa Kizazi kipya anayefanya vizuri ndani na Nje
ya nchi Diamond Platnumz aliweza kunakiliwa na vyombo mbalimbali
vya
habari kuwa anampango wa kuongeza mtoto wa pili baada ya kumpata Tiffah
kwa mpenzi wake wa sasa Zarina Hassan.
0 comments:
Post a Comment