Wednesday, March 2, 2016


Hivi unakuwa na nia gani unakubali kupigwa picha kama hii kwa mkao huu tena ndani ya Ofisi. na Kuamua kuiweka Mtandaoni huku si kujidhalilisha na kuwafanya wale 
waliokupa mamlaka ya wadhifa ulionao ndani ya ofisi hiyo kuwafanya walikosea kwakuwa akilizako si timamu na hukupaswa kuwepo hapoJamani wanaweke/wakina dada kuweni na mawazo pindi mfanyapo vitu vyenu. Kiukweli kwa sasa Tumewachoka na hii hali.

0 comments:

Post a Comment