Mangekimambi_
Sawa nakuwa mpumbavu kwenye swala la Wema Ila kumbuka hata wakati
nakupigania wewe niliitwa mpumbavu vile vile.Nilitukanwa kona zote
kwanini namtetea mwanamke anaevaa pampers na kutembea matako Wazi. Ila
sikujali niliacha waniite mpumbavu Kwa ajili yako Na huku sikujui hata
kukuona sikuwahi Ila Kwa sababu niliamini in my heart unaonewa niliacha
waniite
mpumbavu. Leo Na wewe unaniita mpumbavu sababu namtetea Wema Kwa
kitu ambacho hata wewe unajua sio sawa? Na ukisoma sijamtetea
nimekurekebisha tu kuwa hujakosea ni sawa team Wema ni wapumbavu je
kwanini huwasemi hizo team zingine Kwa upumbavu huu? Umemsema Wema
hawakanyi team yake je Mbona hujamsema Dai Au Zari kwanini hawakanyi
team zao?Lazma tuwe watu wa haki. Hizi team zoooote ni ushuzi mtupu Na
ni majipu. Sasa unapochagua team ya kutupia lawama unakosea..
.
.
Mimi
mpumbavu inapokuja issue ya Wema Ila nadhani nilionekana mpumbavu Mara
Mia wakati nakutetea wewe na sikujali so kaa ukijua huwa sijalimatusi,
nishatukanwa matusi kibaooooooo Sasa wamebaki wanayarudia tu! As long as
I feel Mtu anaonewa Hata Kama ni Malaya wa jollies ntamtetea tu.
.
.
After
all Wema has been through as a woman Na wewe Kweli unaona huu ni mida
wa kumu-attack? Wanawake walivyokupigania kipindi kile ushasahau?Au
mpaka Mtu awe single mother ndo unaona anafaa kupewa support?
.
Alafu
muache kujiliza ovyo na huo usingle mother wenu. Utadhani mlibakwa
jamani..... Seriously sawa Wanaume Wanakosea kuwatupieni Watoto Ila duh
mmezidi kulalamika jamani! Yani Sasa Hivi nikisikia neno single-mother I
just roll my eyes like 🙄🙄
.
.
PS-
sijaweka Picha hizi ili utukanwe nimeweka ili tu nikukumbushe kuwa Mimi
naweza kumtetea mtu Hata Kama akionekana hana thamani duniani. As long
as I believe rights zake zimekuwa violated Au uonevu umezidi... I don't
mind your dressing at all Ila usiite Mtu mpumbavu eti Kisa kumtetea
mwanamke anae onewa , jikumbuke wewe ulivyoitwa mpumbavu , malaya,
mshenzi, mama mbaya majina yote waliyamaliza and still watu
tulikupigania.
.
Although
umeniita mpumbavu wala sitokutukuna au kukuita mpumbavu pia. Yawezekana
nikawa mpumbavu Kweli ikija Kwa wanawake kama Faiza Ally na Wema
Sepetu! Nakuwa sioni siambiwi
Read more at http://websta.me//n/mangekimambi_#XZ0wPpjK2xXS22UZ.99

0 comments:
Post a Comment