Friday, March 4, 2016

Eddy Kenzo 3
 Mwimbaji Eddy Kenzo wa Uganda ameripotiwa kuwa hali yake kwa sasa inaendelea vizuri baada ya kulazwa akiuguliwa na Typhoid na Malaria.

Kwa mujibu wa mpenzi wa Eddy Kenzo ‘Rema’ ameandika hivi mtandaoni….”Papa is feeling much better, thanks for your prayers. Recover quick my love..”
Na Eddy Kenzo alitoa Updates kwa watu wake “I will be fine. thank you all for your prayers guys. God is in control I will be going back home tomorrow ALHAMDULILAH..”
Rema na Eddy Kenzo wapo pamoja kwa sasa hata baada ya ripoti nyingi kuwa Eddy alikuwa na michepuko kibao hivi karibuni.

 Eddy Kenzo na Rema

Like Page Yetu hapa chini

0 comments:

Post a Comment