
Ridhiwani Kikwete
"Watu
wa Pwani tulikutana Mkuranga kumsindikiza Dada wa Mwenyekiti wetu Mzee
wetu Kipenzi Chetu Mwinshehe Mlao katika safari yake ya Mwisho hapa
Duniani. Kama kawaida Kinywaji Madafu lakini huku tukiangalia Mashati
yetu yasichafuke.ahahahhahah. Pamoja sana Mbunge wa Mkuranga Abdallah
Ulega na Abdallah Dallas."

0 comments:
Post a Comment