Sunday, March 13, 2016


March 12 2016 kulifanyika utoaji wa tuzo kwa wanawake, tuzo ambazo zimepewa jina la Malkia wa Nguvu, tuzo  ambazo ziliandaliwa na Clouds Media Group na kutolewa JijiniDar es saalam.
Burudani pia ilichukua nafasi yake katika kukamilisha shughuli nzima, hapa nakukutanisha na mchekeshaji Mc Pilipili na huu utani wake kuhusu warembo wa bongo…

0 comments:

Post a Comment