Thursday, March 31, 2016




Beki waAzam FC, ShomariKapombe (kushoto) akiwaameshikilia hundi yenyethamaniya Sh. Milioni 1/- kamatuzoyamchezaji bora wamweziJanuariwaLigiKuuya Vodacom Tanzania Bara (VPL) janakatikamazoeziyatimuyake,KutokakulianiOfisawaBodiyaLigi (TPLB), Joel Balisidya, OfisaMatukionaUdhaminiwa Vodacom, Ibrahim KaudepamojanaMenejawakikosihicho, LucksonKakolaki.


MchezajiwatimuyaAzam FC yajijini Dar es Salaam ShomaryKapombejanaamekabidhiwakitita cha shilingiMilioni 1/- kutokananakuibukakuwamchezaji bora waligiyasokaya VPL inayoendeleakwakipindi cha mweziJanuarimwakahuu.
Kapombeamekabidhiwakititahicho  kutokakwamdhaminiwawaligihiyo Vodacom Tanzania katikauwanja  

waklabuanayoichezeauliopomaeneoyaChamanzi,jijini Dar es Salaam. Akiongeamudamfupibaadayakukabidhiwa  zawadihiyo  ikiwanituzoyauchezajibora,Kapombealisemaamefurahiakuwamiongonimwawachezajiwaliopatatuzotuzonakuongezakuwaimezidikumtiamoyonabidiiyakujitumazaidi.

“Nashukuru Vodacom kwakuwapatiazawadiwachezajiwanaofanyavizurikwakuwainawazidishiakasiyakujitumazaidi,pianawashukuruwachezajiwenzanguwotewaAzammaanabila  jitihadazapamojasiorahisimchezajimmojaukaibukanakuonekana bora kwakuwakatikamchezowasokasotetunategemeana”.Alisema.
Kwa upande wake MenejaUhusianowa Vodacom Tanzania,MatinaNkurlualiyeambatananaOfisawaBodiyaLigi, Joel BalisidyapamojanaOfisaUdhamininaMatukiowakampunihiyo, Ibrahim Kaudekatikakumkabidhizawadihiyoalimpongezamchezajihuyonakuongezakusemakuwa Vodacom inajivuniamafanikioyanayoendeleakupatikanakatikaligihiyonainampangowakushirikiananawadauwenginewasokakuzidikuiboreshazaidi.


Kapombealitwaatuzo  mweziJanuariuliokuwanaraunditatu, alichezadakikazote 180 zamechimbilizatimuyakedhidiya African Sports naMgambo Shooting.
MechiyatatuyaAzam FC katikaraundihiyodhidiya Tanzania Prisons ilikuwakiporo, nailichezwaFebruari 24, 2016.
Kapombealifungamabaoyotemawilikwenyeushindiwamabao 2-1 watimuyakedhidiyaMgambo Shooting. Pia alisaidiakupatikanabao la Azamkwenyemechidhidiya African Sports iliyomalizikakwasareyabao 1-1, namaranyingimashambuliziyatimuyakeyalianziaupande wake.
WashindaniwaKapombekwenyekinyang'anyirohichokatikamwezihuowalikuwamshambuliajiwa Tanzania Prisons ya Mbeya, Jeremiah Jumanabekiwa Coastal Union yaTanga, Miraji Adam.



0 comments:

Post a Comment