Thursday, March 31, 2016

 Pastory Michael Kajembe apata  Ajali ya Gari akiwa na familia yake, jana alfajiri katikati ya Mtera na Mpunguzi,Mkoani Dodoma na Kupoteza Watoto wake Wanne kwa pamoja Junior, Isaac, Gabriel na Glady katika ajali hiyo.


0 comments:

Post a Comment