Thursday, March 3, 2016

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
YELEUUUWI! Mwanamke mjamzito aliyejitambulisha kwa jina moja la Hamisa amenaswa laivu na ‘makachero’ wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, akijiuza huku akiwa na ujauzito wa miezi nane na siku 27, zikiwa zimesalia siku tatu afikishe miezi tisa tayari kwa kujifungua. 

0 comments:

Post a Comment