
Kila siku muigizaji kwenye tasnia ya filamu hapa nchini, Faiza Ally, hakosi chakukiandika kwnye account yake ya Instagram ambayo ameiunganisha na account yake ya facebook. Kama hata sifu basi ataponda, Na kama hata ponda na kusifu atajianika.
Leo
ameamua kuandika kuhusiana na Diamond Platnumz ambapo ameandika kuwa
Diamond ni inspiration. Haya ndiyo aliyoyaandika "Diamond ni inspiration
kwa kina baba wote wanao terekeza watoto wao ! Diamond Ni inspiration
kwa single mothers wote wanao lea watoto peke yao ! Diamond ni
inspiration kwa watoto wote wanao lelewa na single mothers - single mama
tunajua tunapitia mangapi kuwapa watoto wetu mahitaji - wkt mwingine
unaweza ukalala hata na mtu mtoto wako apate mahitaji ! NI
UHALISIA......"Akaamua kuzidi kwakugusia maisha ya Diamond Platnumz na baba yake mzazi kwakuandika "Kwa hiyo MUACHENI DIAMOND ATAMSAMEHE BABA YAKE SIKU AKIAMUA ! SIO WKT MEDIA NA WANANCHI MNATAKA AU KWA SABABU YEYE ANATAKA - MAMA NASIBU KWANZA !!!! AND I LOVE IT! MUACHE APONDE RAHA NA MWANAE MAANA WAO NDIO WANAJUA WAMEPITIA MAMGAPI.... Na Hawa kina baba Diamond wako wengi wakome! waache kuterekeza watoto wao na kukatia tamaa mama zao ! MUACHENI BABA DIAMOND AKOME KIDOGO - ATASAMEHEA DIAOMOND AKIJISIKIA YUKO TAYARI KUSAMEHE ......"
Akazidi kutiririka kwa haya ya moyoni mwake "single mothers tunapitia mengi hata sisi tuna tamani kusaidiwa kulea watoto na baba zao ! SINGLE MOTHERS MAMA DIAMOND AWE INSPIRATION KWETU...... mwenye kumsomesha mwanae amsomeshe- mwenye kumuendeleza kipaji amuendeleze na haijalishi unawezo kiasi gani kila mmoja afanye kwa uwezo wake - kuwa single mother sio mkosi wale kilema ni maisha tu na ndio Kama hivyo mnaona MUNGU ANATUBARIKI KWA NJIA TOFAUTI - LEO NAAMINI KUNA WENGI WANGETAMANI WAWE MAMA DIAMOND HATA WALIO KUWEPO KWENYE NDOA 😂 KUWA NA MTOTO KAMA DIAMOND SIO KITU KIDOGO - HONGERA MAMA NASIBU ! UKO JUU ! ...... sasa single mother watagini kina baba Diamond waambieni Kama hawa jirudi Na kutunza watoto baadae wakati tunakula bata Na watoto wetu ......! HATUTAKI KERO NDOGO NDOGO.
0 comments:
Post a Comment