Monday, March 14, 2016


"Nawashukuru sana wananchi wa Mkoa wa kilimanjaro, viongozi wa ngazi zote , vyombo vya Ulinzi na usalama na wanahabari wote kwa ushirikiano mlionipa katika kipindi cha miezi 5 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro .
Tumefanyia mambo mengi katika muda mfupi. Katika siku 150 nimetumia muda mwingi zaidi kushirikiana na wanachi vijijini kuhamasisha maendeleo na kusikiliza kero. Natoa shukrani hizi kwasababu uteuzi wangu umezingatia kazi Nzuri tulizozifanya pamoja Mkoa wa Kilimanjaro. Nawashukuru sana mungu awabariki na sasa naelekea Mbeya kauli mbiu yangu Palipo na Wananchi na Palipo na kero mimi Nipo. hapa kazi tu"








1 comment:

  1. kilimo mara dufu,utunzaji wa mazingira na changamoto ya mkoa kugawanywa,elimu na uwajibikaji utaokaoendana na hapa kazi tu nidvyo tunavyotarajia mkuu!Karibu sana the green city!hUKU NI KAZI TU!JENE IMBOMBO MARAFYALE

    ReplyDelete