Friday, March 25, 2016

Siku ya March 11 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya ziara ya kutembelea katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni kujionea kero za uharibifu wa miundombinu ikiwepo barabara na kuamua kutoa agizo kwa Manispaa ya hiyo kuhakikisha inafanya ukarabati wa maeneo yaliyoharibika ndani ya siku 14 kabla ya kuwawajibisha.
Leo March 25 ripota wa millardayo.com aliongozana na mkuu huyo wa mkoa katika mitaa tofauti ikiwa ni pamoja na barabara ya Mwananyamala ili kujionea hatua zilizofikiwa na kukuta ukarabati ukiendelea…

Barabara ya kutokea Makumbusho kuelekea Mwananyamala

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda wakati akikagua barabara

Hiki ni kipande cha barabara ambacho bado hakijafanyiwa marekebisho

Wafanyakazi wakiendelea kupiga kazi


Hapa huruhusiwi kupita wakati ujenzi ukiendelea

Jamaa kataka kupenya wakamrudisha alipotoka

Watu wakipiga kazi

Jamaa akizibua moja ya mtaro ulioziba kwa uchafu

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akicheki maendeleo


Barabara ya Mwananyamala sokoni

Barabara imefungwa ili kuzuia watu wasipite kuharibu utaratibu wa kazi

Mifereji pia imesafishwa kuondoa uchafu

Baada ya kuhakikisha kazi inaenda, mkuu wa mkoa na watu wake wakipiga stori

0 comments:

Post a Comment