Tuesday, March 8, 2016

flavour 2
Mwimbaji kutoka Nigeria Chidinma Ekile aka Chidinma Ms Kedike amemaliza mkataba wake na lebel ya Capital Hill Records inayomilikiwa na mtayarishaji wa video maarfu Afrika Clarence Peters & rapa IllBliss na kuihama lebel hio.
Chidinma amekuwa chini ya lebel hio toka ashinde mashindano ya vipaji ya kampuni ya simu ya MTN Project Fame mwaka 2010.
Inasemekana kwa sasa Chidinma anampango wa kujiunga na lebel ya mshkaji wake wa muda mrefu Mr Flavour wa Nigeria.
Chidinma  flavour

0 comments:

Post a Comment